PASKA NJEMA
Amefufuka, kama alivyosema, Aleluya! - Siku kuu ya Paska (TOA) – 24 avril 2011 Enjili ya Mateo : 28,1-8 Baada ya sabato, kulipoanza kumulika siku ya kwanza ya juma. Maria Magdalena na yule Maria mwingine walikuja kuliangalia kaburi. Mara kukawa mtetemeko mkubwa wa nchi, maana Malaika wa Bwana alishuka toka mbinguni, akaja kuliviringisha lile jiwe, akaketi juu […]